Kapumbu anyimwa goli lake na TBC, apewa Sikaumbwe

Kapumbu anyimwa goli lake na TBC, apewa Sikaumbwe

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Katika hali ya kushangaza, programu ya TBC online katika mitandao ya kijamii imeripoti kwamba goli la pili la timu ya Zanaco ya Zambia dhidi ya Yanga ya Tanzania katika tamasha la kilele cha wiki ya mwananchi, kwamba lilifungwa na mchezaji anayeitwa Sikaumbwe, kinyume kabisa na matangazo ya TV yalivyoonyesha kwamba mfungaji ni Kapumbu.

Bado hazijajulikana sababu za TBC online kutoa taarifa isiyo ya kweli


1630316377459.png
.......
1630316413164.png
 
Hata tbc waweke figisu, si tunajua utopolo de la misukule imepigwa pumbu jana mbaya zaidi yakiwa kwenye siku zao
 
Kinachouma zaidi ni kwalipia nauli ya ndege na malazi timu ya Zanaco alafu wanawaharibia shughuli,icho tu ndo kinakera[emoji23][emoji28]
 
TBC[emoji117]NI UCHAFU TU KAMA KINGA ZILIZOTUMIKA , YAANI TRASH[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
Jamaa wamepunguza ukali wa hilo jna
 
Back
Top Bottom