Kapuya ni nani kwenye hii nchi hadi awe juu ya Sheria?

Kapuya ni nani kwenye hii nchi hadi awe juu ya Sheria?

Mojawapo ya mabadiliko yanayotakiwa kufanywa ktk katiba ni kuanzisha kitengo binafsi nje ya jeshi la polisi kitachokua na uezo wa kuchunguza na ku-prosecute watuhumiwa sambamba na polisi na waendesha mashtaka wao. Bila hivo hawa magamba na policcm wataendelea kutuchezea hadi kiama.
 
Tatizo la we Joyce Kiria ni kuchanganya mambo! tatizo al Kapuya na la mumeo Pro-Mbowe ni vitu viwili tofauti na nikushauri kwamba pindi ukianza kuingiza mambo ya kisiasa kwenye kile kipindi chake ndiyo itakuwa mwisho wako!
 
Last edited by a moderator:
Kilewo wangu ametafutwa kwa udi na uvumba na Jeshi la Polisi kwa sababu ya Taarifa za magazeti..

Kapuya kafunguliwa Jalada la tuhuma zinazoendelea kuvuma kwenye vyombo vya habari, kama haitoshi tuhuma zimefunguliwa na mlalamikaji ambae ana ushaidi kwa kiasi kikubwa, na hayo mambo yamedumu kwa muda sasa kwenye vyombo vya habari! Lakini jeshi la polisi halijashughulika nae!

Au ndo mambo ya kukamata wezi wa kuku na kuwajaza magerezani huku wanaomaliza nchi (mafisadi) wanakula Kuku uraiani?

Ama kweli hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo.. Tunawangoja kwa hamu sana 2015..

Kilewo Mume wangu nipo na wewe tena nipo Imara sana kuliko unavyonijua. Pigania nchi kitaeleweka tu.

Kama umekuja hapa kumtetea mumeo na kutaka tumuone mtu safi, basi komaa na hilohilo la kumsafisha ila sioni mantiki yoyote ya kuingiza swala la Kapuya ktk usafishaji wako kumbuka kwamba KILA MTU ATAUCHUKUA MZIGO WAKE MWENYEWE, kapuyanga mkware atauchukua wake na mumeo pia atajitwisha zigo lake.
 
Huyo aliebakwa yupo wapi?kwa nini asijitokeze waziwazi na kusema polisi?au yeye mwenyewe akaongea waziwazi?mimi ndo nijitie kimbelembele?Kila siku tunasoma kwenye Tanzania daima kapuya alibaka.ushahidi hata kuwa labda wamekuta sperms wa huyo msichana hautolewi,zaidi ya maneno tu maneno.

bibi unasoma darasa la ngapi?unasema kukuta sperms?kubakwa kunahusiana vipi na sperms?unaijua sheria yoyote ya ubakaji wewe binti????????????
 
Joyce hii ya Kapuya imewashangaza na kuwauma ata baadhi ya wana CCM wenyewe, in fact ukiwa na akili timamu lazima ikuume ata kama sheria haijathibitisha, lakini kikubwa kinachonisikitisha wenye mamlaka na wenye ushawishi ikiwemo idara mbalimabali , vyama vya siasa, wanaharakati na wanasheria na wote wapenda haki hawajafanya inavyostahili ili iwe demo watu wangine wasifanye uonevu na udanganyifu wa namna hii kwa watu wenye shida za kimaisha kwani sote ni binadamu, zamani nikuwa ninashangaa mtu akiamua kuacha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu sasa ninaelewa kwani wakati fulani huoni mtetezi wa wanyoge zaidi ya ubinafsi wa kila mtuu.
Kilewo wangu ametafutwa kwa udi na uvumba na Jeshi la Polisi kwa sababu ya Taarifa za magazeti..

Kapuya kafunguliwa Jalada la tuhuma zinazoendelea kuvuma kwenye vyombo vya habari, kama haitoshi tuhuma zimefunguliwa na mlalamikaji ambae ana ushaidi kwa kiasi kikubwa, na hayo mambo yamedumu kwa muda sasa kwenye vyombo vya habari! Lakini jeshi la polisi halijashughulika nae!

Au ndo mambo ya kukamata wezi wa kuku na kuwajaza magerezani huku wanaomaliza nchi (mafisadi) wanakula Kuku uraiani?

Ama kweli hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo.. Tunawangoja kwa hamu sana 2015..

Kilewo Mume wangu nipo na wewe tena nipo Imara sana kuliko unavyonijua. Pigania nchi kitaeleweka tu.
 
Lakini Dada Joyce hii mada ya malalamiko Kuhusu Kapuya umeongea vizuri, ila mambo ya mume wako Kileo ndio ubinafsi tunaoulalamikia hizi ni mada mbili tofauti alafu Kilewo ni Mwanasiasa ni wale wale nyumba ya uongo binafsi imani yangu ni ndogo sana kwa wanasiasa ninawaheshimu tuu kwa kuwa ata ufanye nini watakuwepo tuu.

Samahani nitoke nje ya mada nimesikia unaweza nisaidia kupata msaidizi wa nyumbani yaani house girl aliyefundishwa kazi zake kutoka kwenye kampuni yako,kama kweli ninaomba contact zako au nijulisha chochote cha kunisaidia kuhusu hilo.
Kilewo wangu ametafutwa kwa udi na uvumba na Jeshi la Polisi kwa sababu ya Taarifa za magazeti..

Kapuya kafunguliwa Jalada la tuhuma zinazoendelea kuvuma kwenye vyombo vya habari, kama haitoshi tuhuma zimefunguliwa na mlalamikaji ambae ana ushaidi kwa kiasi kikubwa, na hayo mambo yamedumu kwa muda sasa kwenye vyombo vya habari! Lakini jeshi la polisi halijashughulika nae!

Au ndo mambo ya kukamata wezi wa kuku na kuwajaza magerezani huku wanaomaliza nchi (mafisadi) wanakula Kuku uraiani?

Ama kweli hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo.. Tunawangoja kwa hamu sana 2015..

Kilewo Mume wangu nipo na wewe tena nipo Imara sana kuliko unavyonijua. Pigania nchi kitaeleweka tu.
 
Huyo aliebakwa yupo wapi?kwa nini asijitokeze waziwazi na kusema polisi?au yeye mwenyewe akaongea waziwazi?mimi ndo nijitie kimbelembele?Kila siku tunasoma kwenye Tanzania daima kapuya alibaka.ushahidi hata kuwa labda wamekuta sperms wa huyo msichana hautolewi,zaidi ya maneno tu maneno.

Kwa taarifa yako, binti alienda polisi akatoa taarifa, RB ikaandaliwa na humu jf iliwekwa. Taarifa za kiintelijensia ni kuwa polisi walimtonya jamaa, akakimbia hiki kikombe. Hujui uliza usitoke povu!
Wewe ni mwanamke ngoja mwanao aje abakwe na kupewa AIDS uje utoe mzaha kama huu.
 
Una uhakika hajaenda Polisi?
Huoni hata huruma kwa mwanamke mwenzio??
 
Kwa taarifa yako, binti alienda polisi akatoa taarifa, RB ikaandaliwa na humu jf iliwekwa. Taarifa za kiintelijensia ni kuwa polisi walimtonya jamaa, akakimbia hiki kikombe. Hujui uliza usitoke povu!
Wewe ni mwanamke ngoja mwanao aje abakwe na kupewa AIDS uje utoe mzaha kama huu.
Huyu Victorie atakua ndie aliemshikia mguu kapuyanga mkware wakati anakabaka kabinti.
 
Last edited by a moderator:
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa bali aziungamaye atapata rehema -lakini wajue kila jambO lina mwisho ! tafakapp
 
Nini kimetokea na kinachoendelea? Yule binti yu wapi na katika hali gani? Na Prof.Kapuya anasemaje kwasasa? Tanzania Daima na Global Publisher nao vp? Polisi je? Lini Mahakamani?

Samahanini waungwana,kwa sakata hili,nimebakiwa na maswali tu hayo na mengineyo. Tuambiane wakuu ili nasi tujue mambo ya kada mwenzetu wa CCM. Haya si mambo ya kusahau haraka hivi.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Jamani @mods njoo uufunge uzi huu unamuongelea pedesheee wetu ambaye hatakiwa kuguswa, ustaadh alhaj mijihela
 
Ni nchi inayoongozwa na matukio pamoja na maongezi juu ya "watu". Its a country comprised of "small brained" people!!!!
 
in tz issues are never resolved people simply move on to new ones
 
Huyo aliebakwa yupo wapi?kwa nini asijitokeze waziwazi na kusema polisi?au yeye mwenyewe akaongea waziwazi?mimi ndo nijitie kimbelembele?Kila siku tunasoma kwenye Tanzania daima kapuya alibaka.ushahidi hata kuwa labda wamekuta sperms wa huyo msichana hautolewi,zaidi ya maneno tu maneno.

SIKU moja baada ya binti anayedaiwa kubakwa na kutishiwa kuuawa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), kufungua jalada polisi dhidi yake, inadaiwa mbunge huyo ametoweka nchini...

Vyanzo mbalimbali vilivyo karibu na mbunge huyo, vinadai kuwa amesafiri juzi kwenda nchini Sweden kwa masuala ya kikazi, na kwamba atakuwepo huko kwa muda usiopungua mwezi mmoja.

Chanzo kingine kimedokeza kuwa mbunge huyo alidai ametumwa kazi na kigogo mmoja serikalini na atakuwepo nchini Sweden miezi miwili hadi mitatu.

Hata hivyo haijajulikana kazi anayokwenda kuifanya Kapuya ingawa kuna taarifa safari hiyo imelenga kumtuliza na upepo mbaya wa kuandamwa na tuhuma za ubakaji ambazo zipo polisi hivi sasa.

Wakati Profesa Kapuya anakimbilia nje ya nchi, tayari alishafunguliwa jalada namba OB/RB/21124/13 katika Kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam juzi.

Mtoa taarifa wetu anasema muda mchache baada ya Kapuya kushindwa kumshawishi binti huyo asimfungulie kesi ya ubakaji, wala kuogopa vitisho vya kuuawa, au kupokea pesa kiasi chochote aondoke nchini, Kapuya mwenyewe alipanga safari ya dharura na kwenda nje ya nchi.

Tanzania Daima lilifanya juhudi za kuwasiliana na ofisi ya Bunge kujua kama wana taarifa zozote za kuondoka kwa mbunge huyo kwenda nje ya nchi na kujua ni sababu zipi hasa zimempeleka huko, lakini simu ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai ilikuwa inaita bila kupokelewa.

Katibu wa Bunge, Thomas Kashilila naye hakupatikana baada ya simu yake kuita bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe mfupi wa simu (sms) hakuujibu.

Hata hivyo, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa kuwa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu ambayo Kapuya ni mjumbe wake haina safari ya Sweden.

Tangu Tanzania Daima lianze kuandika tuhuma hizi nzito, kumekuwapo na kusuasua kwa mtuhumiwa huyo kutiwa hatiani na Jeshi la Polisi.

Harakati za kufungua jalada dhidi ya Kapuya zilianza juzi jioni na kuendelea hadi jana ambapo polisi walitumia zaidi ya saa 12 kumhoji binti huyo anayedaiwa kubakwa ili kupata ukweli wa sakata hilo.

Akiwa polisi, binti huyo alikutana na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi ya Oysterbay (OCD) na OC-CID wake na kutoa maelezo ya awali kabla ya viongozi hao kumruhusu ayaweke malalamiko yake katika maandishi kwa ajili ya kufunguliwa mashitaka.

Polisi wanena

Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, alisema watamtafuta Kapuya nchi yoyote atakayokwenda iwapo tuhuma dhidi yake zitathibitika.

Alisema Jeshi la Polisi lina mtandao mkubwa ndani na nje ya nchi, hivyo si rahisi kwa mtuhumiwa yeyote kuukwepa mkono wa sheria endapo itahitajika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.

“Sisi tunashirikiana na polisi wa nchi mbalimbali duniani, ndiyo maana inakuwa rahisi kwa mtuhumiwa aliyetoroka nchi fulani kukamatwa nyingine na kurejeshwa kwao.

“Nataka niwaondoe hofu wale wote wanaodhani polisi haiwezi kumkamata mtu akikimbia nchini, tuna mkono mrefu sana na hatufanyi kazi kinyume na taratibu zetu,” alisema.

Kamanda Wambura pia alikiri polisi kufungua jalada la Kapuya huku akiweka wazi kuwa kinachofanyika hivi sasa ni uchunguzi wa tuhuma zake.

Alisema miongoni mwa maeneo wanayoyafanyia uchunguzi ni kubaini kama ujumbe ulio katika simu ya binti anayedai kubakwa na kutishiwa maisha unatoka katika simu ya mbunge huyo.

“Tumefungua jalada, lipo kwa ajili ya uchunguzi na tukibaini kuwa ni nani anahusika na tuhuma hizo tutamsaka na kumkamata popote alipo,” alisema Wambura.

Tanzania Daima
 
Issue ya mmeo na Kapuya ni tofauti,kwanza mmeo mwenyewe anamchukia Zitto waziwazi na aliandika humu JF,na hata akapost waraka unaomchafua Zitto,Kapuya je una ushahidi wowote kuwa alibaka kweli?Zaidi ya maneno tu?

Haaaah haaaah ushahid upo,kwanini asihusishe suala la kilewo na kapuya? Na ili hali yote yana rb? Kwanini searching kilewo iwe more intensive kuliko kapuya ambae ana kosa kubwa?
 
Back
Top Bottom