Kapuya ni nani kwenye hii nchi hadi awe juu ya Sheria?

Kapuya ni nani kwenye hii nchi hadi awe juu ya Sheria?

Viongozi wote wa ccm wapo juu ya sheria.
 
kama aliweza kushtakiwa MKAPA kwanini ishindikane kwa kapuya?jibu ni jepesi tu kwa kapuya mpaka sasa hajakutwa na kosa lolote lile.ila mumeo KILEO makosa yake hayahesabiki kila sehemu yupo,na karandinga za polisi(magereza)atazipanda sana.Nakushauri jiandae kutafuta mume mwingine akusaidie kulea mapacha hao.

...wewe ni mropokaji, maana hutumii bongo,
 
watoto wanauza madawa name hawakamatwi!?
 
Joyce Kiria , Pole sana maana ukiishi na mwanaharakati lazima ukubali misukosuko.Kapuya issue yake imefikia mahali inaonekana kama imesusiwa na jamii pamoja na wanahabari wengine maana inaandikwa na Tanzania Daima tu.

Sifahamu kwanini hili swala limepewa uzito mdogo na vyombo vingine vya habari pamoja na mtoto kutoa taarifa Polisi rasmi lakini hatuoni juhudi za vyombo vya habari kupata ukweli wa hili.

Binafsi kama ikigundulika yule mtoto alifanyiwa hayo aliyosema nitalaumu jamii nzima na vyombo vya habari juu ya hili maana kama kulikuwa na ulaghai ilikuwa kazi yao kutafuta ukweli hasa issue yenyewe ikihusisha mtoto na mtu mzito kama Kapuya.

Binafsi najitahidi kuifuatilia kuona mwisho wake.

wanasemaga no upepo tu utapita... na ndio ishapita hiyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom