GeniusBrain JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 4,315 Reaction score 309 Nov 3, 2010 #121 Jimbo la KARAGWE LIMEISHA CHUKULIWA NA CCM, TAYARI. BLANDES AMESHINDA KWA KISHINDO
M Mnyalu wa Kweli JF-Expert Member Joined Oct 7, 2010 Posts 233 Reaction score 55 Nov 3, 2010 #122 Jamanieee, kuna mtu kule Karagwe. nilimpipigia saa saba akaniambia matokeo yalikuwa bado na akadokeza kuwa mgombe wa CCM alikuwa ameshinda japo walikuwa wanasubiri official announcement. Imenikera sana.
Jamanieee, kuna mtu kule Karagwe. nilimpipigia saa saba akaniambia matokeo yalikuwa bado na akadokeza kuwa mgombe wa CCM alikuwa ameshinda japo walikuwa wanasubiri official announcement. Imenikera sana.