Elections 2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

Elections 2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

Jimbo la KARAGWE LIMEISHA CHUKULIWA NA CCM, TAYARI. BLANDES AMESHINDA KWA KISHINDO
 
Jamanieee, kuna mtu kule Karagwe. nilimpipigia saa saba akaniambia matokeo yalikuwa bado na akadokeza kuwa mgombe wa CCM alikuwa ameshinda japo walikuwa wanasubiri official announcement. Imenikera sana.
 
Back
Top Bottom