Karaha na raha za mabinti "Short Chasis"

Karaha na raha za mabinti "Short Chasis"

Wafupi~short chasis~mbilikimo hayo mnayajua nyie

mimi nawaitaga "cha upepo" na masela kitaa utasikia "nusu mkate"
Teeh teh eeeh
 
Wadau mimi nina uzoefu kiasi za mabinti short-chasis a.k.a nyundo

Karaha;
1. Maneno mengi hata kwa ishu ndogo ya kuelewana (vuvuzela)

2. Poor appearance/zero nyago (refer kucheza kwaito harusini)

3. Hatari wakat wa kuzaa (kushika ujamwepesi huwa ni kaaazi mno.

Raha;
1. Wepesi kunako 6 x 6

2. Bajeti (shopping ya nguo, viatu, underwear baby shop inahusika)

3. Mnato kule dodoma hq ukilinganisha na matolu ladies

!
!
Anko na mimi nina kauzoefu ka hawa wadada wafupi. Kifupi tu hutaka au hupenda waonekane warefu kwenye matendo yao. Moja vina wivu, vina jua kupenda mno, vina maamuzi ya haraka na misimamo i.e. Kama kakupenda atakumwaga ila atakurudia taratibu. Ila kwenye nkwichinkwinchi wako poa sana. I miss you Jaqsmochy
 
Short men unquestionably face greater social challenges than short women do,
 
Wadau mimi nina uzoefu kiasi za mabinti short-chasis a.k.a nyundo

Karaha;
1. Maneno mengi hata kwa ishu ndogo ya kuelewana (vuvuzela)

2. Poor appearance/zero nyago (refer kucheza kwaito harusini)

3. Hatari wakat wa kuzaa (kushika ujamwepesi huwa ni kaaazi mno.

Raha;
1. Wepesi kunako 6 x 6

2. Bajeti (shopping ya nguo, viatu, underwear baby shop inahusika)

3. Mnato kule dodoma hq ukilinganisha na matolu ladies

umesahau karaha ya MIZINGA (KUOMBA pesa)
Hujafa hujaumbika...uumbaji haukosolewi...huyajui ya kesho...tafakari [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Mmh
 
Attachments

  • 2591575_IMG_20201013_121022.jpg
    2591575_IMG_20201013_121022.jpg
    26.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom