Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Kuna mwingine wa Borussia Dortmund anazungusha mpira hatari sana, Kuna yule wa Celtic ya wakubwa Man City hawatomsahau alichowafanya UEFA.Hawa akina Dembele wameibuka kwa kasi sana na wanajua pia, ila cha kushangaza wapo nchi tofauti tofauti, origin yao ni wapi hawa watu?
TandaleHawa akina Dembele wameibuka kwa kasi sana na wanajua pia, ila cha kushangaza wapo nchi tofauti tofauti, origin yao ni wapi hawa watu?
Mkuu acha kumzalilisha mfalme gaucho.Messi yupi? Huyu king messi mtoto wa ki-argentina?au mesi wa bongo? Huyo dembele ni kama akina gaucho miaka miwili tu ashajifia......