Karamako Dembele (13yrs) kuwa Messi ajaye?

Karamako Dembele (13yrs) kuwa Messi ajaye?

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Huyu dogo mwenye miaka 13 anachezea kikosi cha watoto (Under 20) cha Celtic FC. Ana uwezo mkubwa wa kumiliki na kuchezea mpira atakavyo. Nimempenda sana nikaona niwashirikishe kidogo muone vipaji.

 
Hawa akina Dembele wameibuka kwa kasi sana na wanajua pia, ila cha kushangaza wapo nchi tofauti tofauti, origin yao ni wapi hawa watu?
 
Hawa akina Dembele wameibuka kwa kasi sana na wanajua pia, ila cha kushangaza wapo nchi tofauti tofauti, origin yao ni wapi hawa watu?
Kuna mwingine wa Borussia Dortmund anazungusha mpira hatari sana, Kuna yule wa Celtic ya wakubwa Man City hawatomsahau alichowafanya UEFA.

Hawa Dembele ni West Afrika hasa Mali ila wengi wanachezea Ufaransa. Timu za Taifa nchi za Afrika miyeyusho.
 
Hatatokea mchezaj like mes labda baada ya miaka 200. ukianzia kiwango chke staili yke ya uchezaj had recod zke ni vigumu kuclose kwa mchezaji yeyote.

Binafsi naemuona atakuja kuwa mkal baada ya kustaafu messi ni PAUL DYBALA pekee hili toto achananalo.lakin sio kwamba atafanana na messi never. Messi kitu ingine bana.
 
Ana vielement vya Okocha....hata utege
 
HATA BONGO HAO WAPO TNA NI HATARI ZAIDI YA HAO WA ULAYA ILA SEMA HAKUNA WA KUWAMULIKA NA KAMERA KAMA HUYO DEBELE
 
dogo ni Okocha re-born , wazungu hawawezi ku bali awe new messi . najua mmeelewa
 
Messi yupi? Huyu king messi mtoto wa ki-argentina?au mesi wa bongo? Huyo dembele ni kama akina gaucho miaka miwili tu ashajifia......
 
Back
Top Bottom