Karanga mbichi?

[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona huwa hupotezi chance ya kuwaongelea wanaume wa Dar
 
Wanaume wa Dar hawataipenda hii
 
kwan mkuu,genye si ndo zinapelekea mtu kuwa na nguvu ya kupump mashine?
Hapana!!! Stamina ya kupump ni tofauti na mambo ya increasing of libido ktk sperm cout.

Karanga zinaongeza ny*ege na ukiwa na nyege nyingi maana yake hamu ya kusex (libido) inaongezeka.

Lakini kuna uwezekano kbs ukawa na sperms za kutosha na hamu ya kusex(libido) ila usiwe na nguvu/stamina ya kupump muda mrefu.
 
Nilipokua kijana mpaka sasa sijaweza kula karanga mbichi. Nikila najisikia kichefuchefu.

Sijui wenzangu mmewezaje! Kama karanga hazijakaangwa sigusi kabisa.
Uwe unatia na ndimu mkuu.

Ili usipate hiyo taabu!
 
karanga mbichi zina kitu kinaitwa "sildenafil" component ambayo ipo pia kwa wingi kweye dawa inayoitwa viagra.. sildenafil inazuia conversion of cyclic GMP to back to GTP hivyo kusababisha uwepo wa cGMP nyingi kwenye blood endothelial tissues hivyo husaidia kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation) hivyo kuongeza strength ya erection kwa hiyo karanga zinasaidia kuongeza strength ya erection, kwa upande mwingine pia zina protein ya kutosha hivyo husaidia pia sperms productio.. hope nimeeleweka
 
Nilipokua kijana mpaka sasa sijaweza kula karanga mbichi. Nikila najisikia kichefuchefu.

Sijui wenzangu mmewezaje! Kama karanga hazijakaangwa sigusi kabisa.
Kwani kale kamchezo ka kikubwa umeshakaanza au bado na ubikira wako wa uumeni?
 
...a man...anaye kula hizo kwa mda mrefu..yaan kila siku ..huwa anaenda ata round zaid ta 4...!!!!
Utani huuu, mi silagi mbona na Ninaendaga 5 rounds, ko nikila cnitajaza kilita moja....
[emoji3][emoji3][emoji3] I'm blesses kumbe
 
Hehe haya kajipange unijibu,nasuburi.
Tofauti na sperm kuwa fiti masuala ya sex kama vile speed ya round,mwanaume kuchelewa ejaculation e.t.c yanaathiriwa na mambo mengine kadhaa kama vile state of mind(woga,msongo wa mawazo,kupania sana e.t.c),experience in sex,afya ya mwili(magonjwa),kiwango cha mazoezi kwa mhusika,aina ya chakula anachokula mhusika ambapo hapo mhusika anapaswa kula vyakula vya vitamini,madini,wanga mzima,e.t.c.....kwa hiyo karanga pekee(protein) haitoshi mwanaume kuwa fiti!!
 
Umekazania nguvu kweli [emoji3][emoji3][emoji3]
Navojua karanga zinaongeza sperm na ham ya sex
haha nimekazania kusaabu my man anapenda sana karanga...so nlitaka nijue zile nguvu zake ni karanga tu peke ake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…