Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Mmmm picha please ya hio mechanism .Ndo maana yake kwakuwa zinatengeneza protein kwa wingi hivyo round zinaongezeka automatically.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmm picha please ya hio mechanism .Ndo maana yake kwakuwa zinatengeneza protein kwa wingi hivyo round zinaongezeka automatically.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli huwa zinasaidia sana mkuu si unajua karanga mbichi zina protein kwa wingi na asili ya wale wazungu ni protein.Huku Tandahimba ndo huwa zinatusaidi sana na kututofautisha na wanaume wa Dar kwa sababu karanga mbichi ni chakula chetu cha kawaida tukiwa kwenye shughuli zetu mashambani wakati chips yai rojorojo ndo chakula cha kawaida cha wanaume wa Dar!
Habari ya nguvu ya kupump ni issue nyingine, karanga zinaongeza ny*ege.Na nguvu je???
I mean round zinaongezeka au???
Hapo nimekuelewa...Habari ya nguvu ya kupump ni issue nyingine, karanga zinaongeza ny*ege.
Wanaume wa Dar hawataipenda hiiNi kweli huwa zinasaidia sana mkuu si unajua karanga mbichi zina protein kwa wingi na asili ya wale wazungu ni protein.Huku Tandahimba ndo huwa zinatusaidi sana na kututofautisha na wanaume wa Dar kwa sababu karanga mbichi ni chakula chetu cha kawaida tukiwa kwenye shughuli zetu mashambani wakati chips yai rojorojo ndo chakula cha kawaida cha wanaume wa Dar!
Hapana!!! Stamina ya kupump ni tofauti na mambo ya increasing of libido ktk sperm cout.kwan mkuu,genye si ndo zinapelekea mtu kuwa na nguvu ya kupump mashine?
Uwe unatia na ndimu mkuu.Nilipokua kijana mpaka sasa sijaweza kula karanga mbichi. Nikila najisikia kichefuchefu.
Sijui wenzangu mmewezaje! Kama karanga hazijakaangwa sigusi kabisa.
Kwani kale kamchezo ka kikubwa umeshakaanza au bado na ubikira wako wa uumeni?Nilipokua kijana mpaka sasa sijaweza kula karanga mbichi. Nikila najisikia kichefuchefu.
Sijui wenzangu mmewezaje! Kama karanga hazijakaangwa sigusi kabisa.
...a man...anaye kula hizo kwa mda mrefu..yaan kila siku ..huwa anaenda ata round zaid ta 4...!!!!Na nguvu je???
I mean round zinaongezeka au???
nimeshuhudia...my man does that...a man...anaye kula hizo kwa mda mrefu..yaan kila siku ..huwa anaenda ata round zaid ta 4...!!!!
Na nguvu je???
I mean round zinaongezeka au???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona huwa hupotezi chance ya kuwaongelea wanaume wa Dar
Utani huuu, mi silagi mbona na Ninaendaga 5 rounds, ko nikila cnitajaza kilita moja.......a man...anaye kula hizo kwa mda mrefu..yaan kila siku ..huwa anaenda ata round zaid ta 4...!!!!
Tofauti na sperm kuwa fiti masuala ya sex kama vile speed ya round,mwanaume kuchelewa ejaculation e.t.c yanaathiriwa na mambo mengine kadhaa kama vile state of mind(woga,msongo wa mawazo,kupania sana e.t.c),experience in sex,afya ya mwili(magonjwa),kiwango cha mazoezi kwa mhusika,aina ya chakula anachokula mhusika ambapo hapo mhusika anapaswa kula vyakula vya vitamini,madini,wanga mzima,e.t.c.....kwa hiyo karanga pekee(protein) haitoshi mwanaume kuwa fiti!!Hehe haya kajipange unijibu,nasuburi.
haha nimekazania kusaabu my man anapenda sana karanga...so nlitaka nijue zile nguvu zake ni karanga tu peke ake...Umekazania nguvu kweli [emoji3][emoji3][emoji3]
Navojua karanga zinaongeza sperm na ham ya sex
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa Dar hawataipenda hii
Acha tu wasemwe... Ni Dar tu ambapo fala mmoja anweza kutoboa mtu macho mbele ya Wanaume zaid ya hamsini.. Mkibisha mleteni scorpion Chuga ajarbu tuone....[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona huwa hupotezi chance ya kuwaongelea wanaume wa Dar