Karanga za Diamond zimesababisha umasikini kwa 30%

Eti zipigwe marufuku... Daah!! Nchi hii inawatu wanawaza kizembe sana. Tatizo kubwa la nchi hii ni packaging, Diamond kaona hiyo ni business opportunity kaitumia vyema sasa hivi hata mgeni toka nje ya nchi anaweza kununua karanga mtaani bila kuhofia afya yake!

Sent from Moto G
Hakuna opportunity Diamond aliyoiona hapo, hizo karanga zilikuwepo mtaani kabla na hazikuwa zinaitwa Diamond karanga na bei ilikuwa ni hiyohiyo mia tatu na packaging ilikuwa hiyohiyo, wazalishaji wanaitwa Smart industries,ndio watengenezaji wa Chipsy snacks zile za watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karanga za diamond zimesababisha karanga nyingine huku mtaani zisinunuliwe kabisa

tena mbaya zaidi kuna wengine walikuwa wanategemea kupika karanga ili waendeshe maisha yao,,ujio wa diamond karanga umesababisha karanga zao kudoda.

wengi wanatamani leo kesho diamond karanga zipigwe marufuku.

ukitaka kuamini hilo hata ukiwa ndani ya gari akipita mtu na sinia lake la karanga anauza halafu akaja mwengine naye anauza karanga za diamond,,itakazonunuliwa ni hizo za diamond.

hapa serikali iingilie kati maana wengine miaka nenda miaka rudi wanaendesha maisha kwa kuuza karanga.
Hakuna kitu kama hicho katika principles za biashara. Ukitaka biashara yako ifanye vizuri jitahidi kutoa quality services including marketing. Kama Diamomd kaweza hayo them its survival for the fittest.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti zipigwe marufuku... Daah!! Nchi hii inawatu wanawaza kizembe sana. Tatizo kubwa la nchi hii ni packaging, Diamond kaona hiyo ni business opportunity kaitumia vyema sasa hivi hata mgeni toka nje ya nchi anaweza kununua karanga mtaani bila kuhofia afya yake!

Sent from Moto G
diamond ni jina tu..the mastermind behind ni kampuni inaitwa smart industry waliokuwa wanatengeneza chama chipsy snack
 
Karanga za Diamond za watoto.
Mie nakula karanga mbichi.
 
karanga za diamond zimesababisha karanga nyingine huku mtaani zisinunuliwe kabisa

tena mbaya zaidi kuna wengine walikuwa wanategemea kupika karanga ili waendeshe maisha yao,,ujio wa diamond karanga umesababisha karanga zao kudoda.

wengi wanatamani leo kesho diamond karanga zipigwe marufuku.

ukitaka kuamini hilo hata ukiwa ndani ya gari akipita mtu na sinia lake la karanga anauza halafu akaja mwengine naye anauza karanga za diamond,,itakazonunuliwa ni hizo za diamond.

hapa serikali iingilie kati maana wengine miaka nenda miaka rudi wanaendesha maisha kwa kuuza karanga.
Unacho sema ni kweli kwani hiyo biashara imeingiliwa ssa,ila kwa upeo wako ungekuja na wazo chanya kuwa wengine waje kwa style nyingine ili kufanya soko la ushindani liwe kubwa,unavyo ongea kama vile umedhurumiwa haki yako ya mcngi au haki yenu ya mcngi,hapana ukiwa na roho hiyo hauta fanikiwa hata kidogo tena unatakiwa kushukuru challenge imekuja ssa kama mnafanya biashara kama yake ndo mfanye mapinduzi ssa,change ur cycle bro

Sent from my HTC Desire 516 dual sim using JamiiForums mobile app
 
karanga za diamond zimesababisha karanga nyingine huku mtaani zisinunuliwe kabisa

tena mbaya zaidi kuna wengine walikuwa wanategemea kupika karanga ili waendeshe maisha yao,,ujio wa diamond karanga umesababisha karanga zao kudoda.

wengi wanatamani leo kesho diamond karanga zipigwe marufuku.

ukitaka kuamini hilo hata ukiwa ndani ya gari akipita mtu na sinia lake la karanga anauza halafu akaja mwengine naye anauza karanga za diamond,,itakazonunuliwa ni hizo za diamond.

hapa serikali iingilie kati maana wengine miaka nenda miaka rudi wanaendesha maisha kwa kuuza karanga.
Acheni dogo apate commision yake
 
Ndani ya kipakitI kila karanga moja ina radha yake hilo ni tatizo zingine chumvi zingine sukari zingine kama uteute yaani ni za ovyo
 
Back
Top Bottom