Ndiyo Ukweli WenyeweTunaishukuru serikali ya awamu ya tano.
Nimeoana hata mawe ya kujengea ukipakia kwenye lori wanaitoza kodi ya madiniKokoto kwa mujibu wa sheria mpya nadhani nayo ni madini. Sasa hapo tozo zake si mchezo...
Mambo mengi tunayolalamika humu yangeweza kuishia bungeni Kama tungekuwa na bunge lenye majadiliano mazuri.Kokoto kwa mujibu wa sheria mpya nadhani nayo ni madini. Sasa hapo tozo zake si mchezo...
Swala sio kulipa kodi , swala ni kodi ngapi walitakiwa walipe .na Kama wana uwezo huoKwa hivyo ulitaka wasilipe kodi na wapore pesa za nchi yako kwenda kwao kwa kigezo cha ajira ya watu 47 ambao wanalipwa pengine laki na nusu per month?muwe mnajifikirisha kwanza kabla ya kuropoka
🤣🤣🤣🤣 ndio hivyo mkuu nami siku ya kujua nilikodoa mimachoKumbe "Karasha" ndiyo Kiswahili cha "Crusher" nilikuwa sijui nimejifunza