fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Garama za ujenzi zitapanda maradufu. Ambao hatujajenga sijui itakuwajeğŸ˜Nimeoana hata mawe ya kujengea ukipakia kwenye lori wanaitoza kodi ya madini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Garama za ujenzi zitapanda maradufu. Ambao hatujajenga sijui itakuwajeğŸ˜Nimeoana hata mawe ya kujengea ukipakia kwenye lori wanaitoza kodi ya madini
Ni Wachina gani waliotoa hizo fedha wakati Meko alisema tunajenga kwa fedha za ndani?wachina ni rafiki zetuu wasisingizie ivooo labda kuna mengineyoo
nasema ivo kwa sababu serikali ya uchina imetoa msaada kwa ujenzi wa reli ya kisasa na bwawa la kuzalisha umeme
Cha ajabu sasa serikali imeshindwa kuwapa hao watu 47 hata ajira ya kulipwa elfu 50 kwa mwezi.Kwa hivyo ulitaka wasilipe kodi na wapore pesa za nchi yako kwenda kwao kwa kigezo cha ajira ya watu 47 ambao wanalipwa pengine laki na nusu per month?muwe mnajifikirisha kwanza kabla ya kuropoka