Karasha ya Wachina wafunga milango Singida

Karasha ya Wachina wafunga milango Singida

Safi Sana.
Wafunge wakafanye kazi nyingine.kazi ziponyingi tu.
Siku hizi Bora ukutane na polisi lakini sio TRA
 
wachina ni rafiki zetuu wasisingizie ivooo labda kuna mengineyoo

nasema ivo kwa sababu serikali ya uchina imetoa msaada kwa ujenzi wa reli ya kisasa na bwawa la kuzalisha umeme
Ni Wachina gani waliotoa hizo fedha wakati Meko alisema tunajenga kwa fedha za ndani?
 
Hao wachina wezi tu wanashndwa kuwekeza kwny migodi ya dhahabu au tanzanite wanakimbilia kokoto ambazo hata mtanzania anaweza chimba.

Serikali iwapokonye huo mgodi tukachimbe wenyewe ikiwezekana serikali izuie vifaa vyao vya uchimbaji na kuvikabidhi kwa wazawa🤗🤗🤗🤗
 
Back
Top Bottom