Karata.....cheupe chekundu!

Karata.....cheupe chekundu!

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Posts
2,502
Reaction score
256
Katika pitapita zangu nimekutana na mchezo mmoja wa kamari ya karata ambao huchezwa mtaani....lakini cha kushangaza ni kuwa pamoja na kupigwa marufuku mchezo huu unaendelea. Kitu kingine nilichogundua ni kuwa katika uchezeshaji huu wengi wanaoliwa ni kina mama na watu wa mikoani hii ni kwa sababu ya kukosa taaarifa.....pia kiatika uchezeshaji wake nimegundua kuwa wengi wa watu wanaokuepo hapo si wachezaji hasa bali matapeli...utakuta watu wanashabikia utafikiri ni mprita.....'' Mara utasikiaaa....Aaaaaaaaaaaaaah.......oooooooooh!......Dada-da-da-daaaa......hiiiiiiiiiii...kakosa. hizo sauti hutoka kw apamoja mithili ya watoto wa kindegaten/vidudu wanapokuwa wanafundishwa......ajabu ni kuwa pamoja na yote hayo bado baadhi ya watu huendelea kucheza!
 
Back
Top Bottom