LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,686
Wakuu kwanini karata picha zake zimekaa kitata?
Ile michoro ina maana yeyote na kuna yeyote anaelewa maana yake, hivi ziligunduliwa kwa ajili ya kuchezea kama tunavyocheza sisi au zina mambo yake meusi
tusiyoyafahamu?
Mwenye kujua lolote anitoe utando, sijawahi kuziamini hata!
Mkuu Mshana jr fika hapa kutusafisha tongotongo...