Elections 2010 Karatasi za kura zitakuwa feki

Elections 2010 Karatasi za kura zitakuwa feki

Cha kufanya ni kwamba badala ya kukunja vertically kunja horizontally au kunja kwa kupishanisha hivyo viboksi!!

sAWA KABISA .Wahusika kina Mnyika nafikiri wanasoma .Hii quiz kwao
 
Pia kuna technology ambayo tick zinakuwa kwenye karatasi ila haziko active mpaka ziwe exposed kwenye hewa, kwa hiyo wanachokifanya wanaweka chemicals ambazo zitafuta tick kwenye visanduku vya wasiohitajika ili pakitikiwa panajifuta baada ya muda.
 
nashauri waweke sample kwenye magazeti watu waelewe cha kufanya siku hiyo. Tupige kelele
 
Kama ni kweli basi kula nyingi za JK zitakuwa batili. Kwa sababu ile vema itakuwa ni kinyume na vema ya kawaida - itakuwa vema ya kiarabu! Hivyo mawakala wa vyama wawe makini na vema za kiarabu ambazo si sahihi. Mfano halisi, wewe usome mhuri kama ulivyo uwezi kuelewa vizuri mpaka ugonge kwenye karatasi, basi mambo ni kinyume(mhuri wa vema ya Dr. Slaa kwa JK, utakuwa kinyume!). Hivyo wazilete tu hizo karatasi ili waumbuke.
 
Back
Top Bottom