Kama ni kweli basi kula nyingi za JK zitakuwa batili. Kwa sababu ile vema itakuwa ni kinyume na vema ya kawaida - itakuwa vema ya kiarabu! Hivyo mawakala wa vyama wawe makini na vema za kiarabu ambazo si sahihi. Mfano halisi, wewe usome mhuri kama ulivyo uwezi kuelewa vizuri mpaka ugonge kwenye karatasi, basi mambo ni kinyume(mhuri wa vema ya Dr. Slaa kwa JK, utakuwa kinyume!). Hivyo wazilete tu hizo karatasi ili waumbuke.