Uchaguzi 2020 Karatu: Uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa CHADEMA zatikisa

View attachment 1553633

Mh Cecilia Pareso leo amezindua kampeni za ubunge wa jimbo la Karatu , hali ndio kama mnavyoona
Hivi Ni mwalimu gani aliwafundisha kupiga Horizontal photograph kwenye population ya watu wengi?
Nikweli mnataka kutuaminisha kuwa nyie wapiga picha wa CDM hamjui kupiga picha za Aerial photograh.
Leta picha Kama hizi Ili tuelewe uhalisia wa unachokizungumuza.
 
Baada ya hotuba yake Mh Magufuli aliwashukuru watu wote waliojikusanya kutoka mikoa mbali mbali nchini kwa kufika dodoma kuhudhuria mkutano huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…