mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Walijikusanya au walikusanywa??? Ongea ukweli na nyoosha kiswahili, watu wamefuatwa na mabasi hadi mtera na Kondoa na mikoa ya jirani, alafu mtu unaletea sentesi za uongo eti walikusanyika! Wapi na wapi?Baada ya hotuba yake Mh Magufuli aliwashukuru watu wote waliojikusanya kutoka mikoa mbali mbali nchini kwa kufika dodoma kuhudhuria mkutano huo