mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Walijikusanya au walikusanywa??? Ongea ukweli na nyoosha kiswahili, watu wamefuatwa na mabasi hadi mtera na Kondoa na mikoa ya jirani, alafu mtu unaletea sentesi za uongo eti walikusanyika! Wapi na wapi?Baada ya hotuba yake Mh Magufuli aliwashukuru watu wote waliojikusanya kutoka mikoa mbali mbali nchini kwa kufika dodoma kuhudhuria mkutano huo
Kabisa MKUUHuyo ni mdada. Haja wabeba kwa malori. Fana nisha na malori na vimemo vya Dodoma juzi.
Waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie maana Ufalme wa Mbinguni ni wao Baraka hizoMbona kajaza watoto
Kazana Kamanda. Pamoja na nyomi hii hakikisha unaweka machinery thabiti ya kulinda kura zako, la sivyo utaliwa. NEC hii siyo ya mchezomchezo.View attachment 1553633View attachment 1554109
Mhe. Cecilia Pareso leo amezindua kampeni za Ubunge wa jimbo la Karatu , hali ndio kama mnavyoona
The Good things are buried with him in his bones, but bad ones prevail aftermath.
Atang'ang'ania madarakaKura zinapigwa na taifa la leo mkuu
MAGUFULI4LIFE.
Kika la kheri kwaoWatoto unawajua "mtoto ni yule ambaye unaweza kumwachia mkewe alale naye harafu asifanye kitu chochote
"..Atapita kwa kupingwa"Naona ana watu wengi kuliko mgombea urais, hivi imekaaje hiyo?
Haha wao wanahitaji kujua mustakabali was taifa letu.Mbona kajaza watoto