The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Dini ni maisha haikwepekiIfike muafaka, tuachane na masuala ya dini, Tufanye vitu vingine
Labda kama ni mfia dini, ila kwa upande wangu, sijaona umuhimu wake.Dini ni maisha haikwepeki
Huyu wa sasa kazi yake ya kwanza ilikua U baunsa wa night clubs za mashoga huko kwao Argentina.Pope Benedict ndie papa msomi kuliko wote.
Alitumia gia ya afya ili ajiuzulu asimkosee Mola wake alijua ukienda kinyume na mnyama wa 666 au wazee wa suti nyeusi ni lazima wakuuwe.
Huyu wa sasa kaogopa kuwawa
Ndo nasikia kwakoHuyu wa sasa kazi yake ya kwanza ilikua U baunsa wa night clubs za mashoga huko kwao Argentina.