Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani Makonda awe Rais wa Tanzania baada ya Magufuli.
Leo Kadinali Pengo anatuletea uchawi ule ule na kuanza kutumia kanisa na ukadinali wake kutaka kumsafisha Makonda na mauchafu yaniyomtapakaa mwili mzima akiwa na ndoto kuwa atakuja kuwa Rais wa Tanzania kama alivyokuwa anaota mwaka 2019.
Ni Nyema akashauriwa kuwa kama mahusiano yao ya vibuyu wanayoyafanya gizani hayatoshi basi wawaheshimu watanzania hata kidogo kuliko kutumia ofisi za umma na kanisa kufanya huu upuuzi wanaoufanya.
Kadinali Pengo ameshiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye maumivu.
Pia, soma=> Askofu Bagonza: Kanisa likijenga Shule ama Hospitali halihojiwi na Serikali, lakini likihoji mbona dawa hakuna linaambiwa lisichanganye dini na siasa