Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

Mkuu acha kutukana watu kwa sababu ya chuki za kitoto.

Nchi hii ingekuwa inaongozwa kidikteta mimi na wewe muda huu tusingekuwa hapa jukwaani.
 
Kanisa katoliki Rwanda lilichangia pakubwa kwenye mauji ya kimbari, Mh Pengo ni mtu mkubwa sana katika taifa letu lakini mzee amezeeka vibaya sana, unafiki unamtesa sana, kumbe kipindi kile Gwajima hakumuonea....simtenganishi Pengo na kanisa Katoliki la nchini Rwanda la 1994. Yote kwa yote Magufuli anajiahidia kwa kiasi chake.
 
Mkuu acha kutukana watu kwa sababu ya chuki za kitoto.

Nchi hii ingekuwa inaongozwa kidikteta mimi na wewe muda huu tusingekuwa hapa jukwaani.
Nchi ni ya kidikteta full stop. Mimi nina survive kwa vile inabidi tujifunze namna ya kuishi kwenye tawala dhalimu na katili kama hizi.
 
Namuunga mkono pengo,Hitler na mussoline walikuwa viongozi wazuri sana na wacha mungu
 
Sitaki kuamini kama ni cardinal kaongea hayo
Mpaka tuone video. Maana hata mimi siamini, kwani sikuhizi teknolojia inaweza kuunga unga vitu.

Na kama kasema hayo, inawezekana huyu mzee anaanza kupata ugonjwa uitwao "Demens" simuombei hivyo ila kama umempa ni mapenzi ya Mungu. Pole zake.
 
Haiwezekani msomi kama Askofu Pengo anaweza kusema hayo maneno angekuwa Sheikh kasema hivyo ningekunali.
 
Pengo ana elimu kubwa ya Theology, lakini elimu ya URAI hana kabisa ni zero. Inabidi arudi shule na kusoma elimuya uraia hata kwa kiwango cha darasa la saba, itamsaidia sana kuongea point katika majukwaa kama hayo.

Ushauri wangu: Ayakimbie majukwaa hayo kwa kulinda heshima yake.
 
Huyu mzee hata hajui demokrasia ni nini! Hapa North Korea watu wanasoma bure. Kanisa lenyewe halina demokrasia.
 
Amekula maharage gani tena huyu?
 
Kama makonda na Jiwe wanasifiwa na Pengo ,sasa najifunza jambo hapa.
Maana Pengo hajawahipo kutowa neno kuhusu uadilifu wa Pr.Assad,wala Kupigwa risasi Tundu lisu,na sijui kama alihesabu mauwaji ya Aqwilin kuwa ni dhambi ya watawala.
Ama kweli
Kundu la nyani si aibu kwa tumbili.
Ikiwa watakatifu wajao ni akina Jiwe na Makonda ,basi muacheni shetani Aabudiwe kwa raha zake.
 
Why The devil favorite place to hide is in church eeehh jamani???
 
Mkuu acha kutukana watu kwa sababu ya chuki za kitoto.

Nchi hii ingekuwa inaongozwa kidikteta mimi na wewe muda huu tusingekuwa hapa jukwaani.

..Kadinali ameteleza.

..Kwa nafasi yake hakupaswa kuwasifia Hitler na Mussolini ili kumtetea Jpm.

..kwenye nchi za wenzetu angelazimika kuomba radhi.

..the good thing amezungumza kwa Kiswahili hivyo vyombo vya habari vya mabeberu haviwezi kujua ameongea nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…