mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Mtume na nabii mpya mchunga kondoo ahaaAmen, very soon
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtume na nabii mpya mchunga kondoo ahaaAmen, very soon
P
Watumishi Wa Mungu walipingana na tawala dhalimu hata kufa,historia aionyeshi mfungamano wao na watawala dhalimuPengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki
Hajaona wajana wadogo kabisa wanavyoondoka na kuwacha wazee,Mungu amsamehe tu.... kumi jioni!, do you know your time?, chunga kijana..
Hii komenti ndo ingebidi ianze baada uzi.Mzee Wetu Pengo amezeeka sasa anaanza kuharibu. Na hata waliomualika leo wamemualika kimkakati ili aongee aliyoyaongea. Wanajua fika kuwa mzee hana mamlaka sasa Katika kanis la Jimbo Kuu la Dar, wenye mamlaka wapo na hawakualikwa. Ila waliamua wamualike yeye na wammezeshe maneno ya kusema. Mapadre wengi wanaumizwa na yanayoendelea nchini kwa sasa. Wanaamua kukaa kimya kulinda kiapo cha Utii walichoapa mbele ya Mungu na kanisa kuwa watamtii askofu wa kanisa mahalia.
Hata hivyo,mashirika ya Kijasusi ndan ya kanisa inabid yafanye kazi yao kuwamonitor wazee wa aina ya Pengo.
Sure kabisa Mimi ni mkristo tena mkatoliki ila Hapa ndipo napoona double standard ya kanisa
Kwa nilichogundua JK alionewa Sana japo nae alikuwa magumashi tu kwa kujaza akina abdallah na kina said kila kona mpaka wengine wakaamisha misikiti ofisini kwao
Eeh Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi nakuomba utende lililo jema na linafaa juu ya huyu kiongozi wa dini aliyegeuka na kuwa mwasiasa. Amen.
Huyu mzee iko siku atamwita shetani savior!!! Gaddafi alitoa Elimu bure, umeme bure, mke bure, harusi bure bado aliitwa dictator! Sasa Elimu kitu gani!!!