njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
hapo logo ya utopolo imepata mtu, miaka yote hii ilikuwa inamsubiri mtu sahihi wa kuiletea maana"Kuomba pambano na mandonga ni Sawa na kuingia ghetto la popobawa kinyumenyume alafu haujavaa nguo"..kauli ya Karim mandonga kabla ya pambano lake na kaoneka
Jamaa ana mikwara mizito Sana😅😅
woyoooo yanga sc ndani ya fainali ya caf champions league 2022, pre party tarehe 6Sema woyo woyooo woyo
"Shabani kuoneka Umedandia mtumbi wa Kibwengo"😂😂😂😂"Kupigana na mandonga ni Sawa na kuingia ghetto la popobawa kinyumenyume alafu haujavaa nguo"..kauli ya Karim mandonga kabla ya pambano lake na kaoneka
Jamaa ana mikwara mizito Sana😅😅
"Shabani kuoneka Umedandia mtumbi wa Kibwengo"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nchi nzima ina party na mandongaYaani yule aliyeshinda hawana habari naye.! Ila huyu aliyefeli ndo hivyo tena.
Hili Taifa sijui ilikuwaje yaani..!
Mandonga mtu kazi namkubali sana"Kupigana na mandonga ni Sawa na kuingia ghetto la popobawa kinyumenyume alafu haujavaa nguo"..kauli ya Karim mandonga kabla ya pambano lake na kaoneka
Jamaa ana mikwara mizito Sana😅😅
Aliyempiga mandonga Hana umaarufu Kama mandonga mwenyew yaan unampiga mtu alfu anakuwa maarufua. Dah hatar sana"Kupigana na mandonga ni Sawa na kuingia ghetto la popobawa kinyumenyume alafu haujavaa nguo"..kauli ya Karim mandonga kabla ya pambano lake na kaoneka
Jamaa ana mikwara mizito Sana[emoji28][emoji28]