Asilimia kubwa ya Wasanii Tanzania ni YANGA. Kwa mfano Ali Kiba, Harmonize, Wema Sepetu, Steve Nyerere, Baba Levo, Irene Uwoya, Lady Jayde, Madee n.k Viongozi wangewatumia vizuri kibiashara wangeweza kuiingizia Klabu mapato makubwa. Kumbe na huyu mwamba wa JWTZ ni Mwananchi?