KARI-Improved Kienyeji, Unaweza kuwa miongozi mwa watu wa mwanzo kupata hii breed

KARI-Improved Kienyeji, Unaweza kuwa miongozi mwa watu wa mwanzo kupata hii breed

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
KARI-improved kienyeji ni breed ambayo ni pure kienyji nani breed inayo taga mayai mengi hata kuzidi kuku wa kisasa wa mayai, na ilipatika baada ya utafiti wa miaka 10 ambapo zilichukuliwa breeds mbalimbali za kienyji na kuselect chache kwa ajili ya cross na kupata hii mbegu

Unaweza kuwa mmoja wa watu wa kwanza kabisa kupata hii breed ya kipekee kabisa

Kifaranga Cha siku 5

KARI huwa na Rangi zaidi ya Nne.

BREED YA KUROILER NAYO INAPATIKANA WAKUU KWA ODA, Hawa Kuroiler wana sifa kuu ya kusavave katika mazingira magumu sana wanaweza hata kulishwa majani peke yaake na bado wakaendelea kutaga hii breed Mseveni alifanya ziara India ndo Akaomba apewe baada ya kutembelea mashamba ya hii breed huko India, Wanaweza ishi katika mazingira magumu sana huenda hata kuliko kuku wa kienyeji tulio nao.

TWO WEEK OLD NI TSH 3500/ KWA KARI NA KUROLER NI 4000/ 0783 69 10 71
 
weka bei!
ina maana wakifika siku kumi watakuwa wakubwa kama bata mzinga?
 
Mkuu Chasha tuambie namna ya kuvipata hivyo vifaranga kama alivyoshauri mkubwa Marire hapo juu ili tushuhudie mema ya hao ndege!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chasha tuambie namna ya kuvipata hivyo vifaranga kama alivyoshauri mkubwa Marire hapo juu ili tushuhudie mema ya hao ndege!

Mkuu unaweza kuja kuwashuhudia arusha, sifa kubwa yao ni utagaji ingawa jogoo nazo huwa kubwa hadi 5 kg, ila hawawezi fikia Dorep au kenbro kwa ukubwa
0783-69-10-72
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaweza kuja kuwashuhudia arusha, sifa kubwa yao ni utagaji ingawa jogoo nazo huwa kubwa hadi 5 kg, ila hawawezi fikia Dorep au kenbro kwa ukubwa
0783-69-10-72

Ntakuja Arusha mkuu make nampango wa kuja kuchungulia soko la madini ya vito. Ntakuja nipate darasa kidogo na nichukue hiyo breed ya vyuku!
 
Chasha kuna Mheshimiwa mmoja hivi nilimuonyesha wale wangu kwakweli amekuwa intested sana na hawa kari na anajindaa kuchukua oda kubwa kabisa si unajua wale pesa ziko nje nje? ni within mwezi huu
 
Last edited by a moderator:
Chasha kuna Mheshimiwa mmoja hivi nilimuonyesha wale wangu kwakweli amekuwa intested sana na hawa kari na anajindaa kuchukua oda kubwa kabisa si unajua wale pesa ziko nje nje? ni within mwezi huu

tehe tehe, nimekupata mkuu
 
Dah shukrani sana mkuu kwa moyo wako huu..

Nitakuja na mie niwatafute....

Vipi lakini speed ya ukuaji wao, ukubwa wao na uzito wao ukilinganisha na hawa kuku wa kienyeji wa kawaida??
 
Dah shukrani sana mkuu kwa moyo wako huu..

Nitakuja na mie niwatafute....

Vipi lakini speed ya ukuaji wao, ukubwa wao na uzito wao ukilinganisha na hawa kuku wa kienyeji wa kawaida??

Speed ni nzuri ila mitetea wanakuwa si wakubwa sana ila kwa jogoo ni wanafika hadi kg 5, mitetea si wakubwa sana
 
Mkuu rekebisha namba yako ya simu ipi sahihi kati ya 0783 69 10 71 au 0783-69-10-72. au zote
 
Chasha,

Akiwa mkubwa anakuwa vp?

Hawa kuku huwa wana Rangi zaidi ya Nnne. Kuna weusi, Madoa meupe na meusi, Madoa meupe na nyekundu na kama kijivu fulani

Hawa wote waili ni KARI

Hawa wote ni KARI ila utaona Rangi tofauti hapo

Na hawa ni KARI
 
Back
Top Bottom