CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo langu sikai sehemu ambayo nafuga hao kuku, naangalia uwezekano kama hao watunzaji wataweza kweli wakiwa wadogo sana. nisijepata hasara. nilitamani ninunue kama 50 hivi nijaribu...Tutawatum watafika tu, Wa mwezi ni kazi kidogo labda wiki Mbili, wanakuwa wakubwa na hawana shida kabisa, Kwa ho wa wiki mbili itakuwa Tsh 3500/
tatizo langu sikai sehemu ambayo nafuga hao kuku, naangalia uwezekano kama hao watunzaji wataweza kweli wakiwa wadogo sana. nisijepata hasara. nilitamani ninunue kama 50 hivi nijaribu...
Muda huo wa wiki mbili unakuwa ulishawapa chanjo muhimu? au ndo itabidi nianze nao?
Asante, nitakutafuta nikiwa tayari kuwachukua, ngoja niweke mambo mengine sawa...Hapo Kwenye Red sijakupata, Kuhusu Chanjo ya wanakuwa wameisha pewa Mareks, New castle, na Gumbora wewe utafanya marudioa ya hizo, Unawapa elimu tu kwa sababu hata wakubwa bila matunzo watakufa tu, si kwamba kuku wakubwa ndo wakufanyia majaribio, no kikubwa ni kufuata kanunuzi zote A to Z
Asante, nitakutafuta nikiwa tayari kuwachukua, ngoja niweke mambo mengine sawa...
Ila sijui kwa nini sipendi kuku weusi, ukinitumia naomba sana wasiwe weusi, lol!
ha haaaa, yaani siwapendi haswaaaa, wa madoa poa ila nawapenda sana hao wa rangi kama hiyo picha ya mwisho ya post 19. Najua kwenye kutotoa watapatikana hao weusi, ila watakuwa victims wa visu kila wikiTehe tehe, si ndo wamejaa huko Dar? wale wa kutoka kwa yule Mama Raisi? Ok nitakupatia wa Modao doa full ila usishnagae wanatotoa kina kuwepo kifaranga cheusi,
ha haaaa, yaani siwapendi haswaaaa, wa madoa poa ila nawapenda sana hao wa rangi kama hiyo picha ya mwisho ya post 19. Najua kwenye kutotoa watapatikana hao weusi, ila watakuwa victims wa visu kila wiki
sijawahi fuga kuku, ndo nataka nianze kufuga, kwa matumizi ya nyumbani tuTehe tehe, mi nilijua huwataki kabisa, kumbe utakuwa unawachinja, kwan wale wa malawi hufugi?