Karia ameihangaikia Simba tu kwa kipindi chake chote


Kwa hiyo Yanga na Ihefu kutokuwa na uwezo wa Kusajili ilaumiwe TFF?
 
Kwahiyo baba yako akitembea Na Mke wako hupaswi kukataa uovu huo kwakuwa ni baba yako?
 
Aliyekulipia Ada ya shule nampa pole kwa hasara aliyoipata.

Yaani ulitaka Karia achukue pesa wanazotoa Simba kwa ajili ya usajili aziletee Wachezaji kwenye Timu ya yanga?
Hiki unachosema hakina tofauti na kiongozi mwenye PhD kutunga sheria kuwa anaetakata kuwania nafasi yake lazima awe na PhD pia. Huku akijia kuwa hata bungeni kuna wabunge wenye elimu ndogo kabisa lakini wanatunga na kupitisha sheria. Karia alipoona kuwa Yanga wanatembeza bakuli na simba wanae mo wakapendekeza timu kuweza kusajili wachezaji 10 wa nje hata baada ya wadau wengi akiwemo waziri mwenye dhamana na michezo kuonyesha wasiwasi na jambo hilo kwenye hatima ya soka letu hasa timu ya taifa. Lakini kwakuwa Karia alizuunguukwa na viongozi wakubwa was serikali ambao wanaitakia mema simba ilisababisha waziri wa michezo akubali kwa shingo upande wachezaji 10.
 
Lakini kuibeba kwake Simba Sc, kumeifanya thamani ya Ligi kupanda kwa kiasi chake ikilinganishwa na wakati wa Malinzi ambaye aliihangaikia Yanga na haikufanya chochote cha maana.
Wacha uongo, kupanda kwa soka LA nchi kunapimwa kwa kipimo cha FIFA ranking. Nchi yetu iko nafasi ya ngapi kwenye viwango vya FIFA? Karia ilipandisha kiwango kutoka nafasi gani kwenda nafasi IPI?
 
Aliyekulipia Ada ya shule nampa pole kwa hasara aliyoipata.

Yaani ulitaka Karia achukue pesa wanazotoa Simba kwa ajili ya usajili aziletee Wachezaji kwenye Timu ya yanga?
Wewe uko kwenye mahaba ya timu, Mimi niko kwenye mahaba ya mchezo wenyewe. Kipindi cha karia ndicho kipindi pekee ambacho kulikuwa na malalamiko mengi na makubwa kutoka kwa wadau wa mpira. Maamuzi ya kibabe
 
Halafu analeta matusi ya nguoni eti kaisaidia sana Yanga. Msomali ana dharau kama za Sabaya.
 
Kwahiyo baba yako akitembea Na Mke wako hupaswi kukataa uovu huo kwakuwa ni baba yako?
Ndio ilitakiwa sasa wewe kama wewe nenda mbele ya bashungwa kamuulize kwann mechi ulipeleka mbele bila shaka ata kujibu ukilalamika hapa ni 0 mzee
 
Ni muda sahihi sas y akili zako kuzitumia kwa Mambo mengine ya faida tofaut na huu utopolo
 
Ndio ilitakiwa sasa wewe kama wewe nenda mbele ya bashungwa kamuulize kwann mechi ulipeleka mbele bila shaka ata kujibu ukilalamika hapa ni 0 mzee
Kanuni za soka mchezo unasogezwa mbele kwa utaratibu fulani. Utaratibu huo anaujua Karia sio Bashungwa. Karia atoe ushahidi wa namna gani alimfahamisha Bashungwa kuhusu utaratibu huo wa kusigeza mechi mbele lakini Bashungwa akaukataa. Je, serikali ilimuandia Karia barua kuhusu kuisogeza mechi mbele au ilitumika njia gani kuwasilisha maombi ya kuisogeza mechi mbele? Je, ni kamati gani ya TFF ilikaa kuyajadili maombi hayo ya Mh. Waziri Bashungwa?
 
Ni muda sahihi sas y akili zako kuzitumia kwa Mambo mengine ya faida tofaut na huu utopolo
Kama yapi vile, nayafanya haya kama sehrmu ya wajibu yangu kwenye starehe yangu ya mpira. Wengine hatuna starehe nyingine nikiona kila mtu analia na TFF eti kwaajili ya mahaba ya timu moja sioni raha. Hatuwezi kulalamika kwa miaka 4 tena.
 
Timu laini ndo ipi hiyo kwenye Vpl
Hakuna mjinga nchini wa kumdanganya, tena Azam ashukuriwe kwa kuonyesha ligi. Ubovu wa tff unakuwa dhahiri. Wakati timu zinatembeza bakuli TFF iliacha kuwalipa waamuzi ili wakutane Na pochi nene la mo, nani hajui.
 
Hivi Karia kumng'ang'inia Juma Mgunda lazima awe kocha wa timu ya Taifa wakati timu yake ya coastal ikielekea kushuka daraja maana yake nini? U home boy? Usimba? au?
 
Karia amesababisha uchaguzi wa TFF uwe na vionjo vya simba na yanga bila sababu, historia itamhukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…