Leo nimeona waandishi baadhi wa habari wakimsifia Karia kwa mafanikio yake mbalimbali ya soka ikiwemo timu yetu ya taifa kufuzu AFCON mara nyingi kuliko kipindi chochote kile.Sifa hizi ndio zinamfanya awe na kiburi na kujibu watu bila kuzingatia madhara ya kauli zake.
Nashauri ajitafakari saana na kauli zake, asijione yeye ni second to none katika watanzania zaidi ya 60 millions...
Nashauri ajitafakari saana na kauli zake, asijione yeye ni second to none katika watanzania zaidi ya 60 millions...