wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
rais Wales John Karis na katibu wake wanastahili kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi
Kutokuomba ombi la kuruhusu caf mashabiki kuingia uwanjani mechi ya kimataifa yanga na river ya naigeria ni kuikosesha kwa maksudi serikali kupata mapato
Inasemekana karia anakakiburi furani yeye na katibu wake
Wanajiamini hawawezi kufanywa chochote na serikali hii wao ni maarufu FIFA na CAF