Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaa.Hongera raisi karia hakika mambo uliyo Fanya ndani ya mda mfupi yanaonekana
Mpira wa Tanzania umekua sana kuliko kipindi cha yule mtakatisha fedha wa Yanga kampuni.Huu ulikuwa ni mkakati uliopangwa kabla na Karia na wapambe wake kwamba hao wawili wangekuja kuenguliwa mwishoni na wasilalamike.
Inaonekana huyu Msomali anatumia njaa ya watu kwa faida yake kwani kuwa hapo TFF ni dili tosha. Mpira wa Tanzania hautakaa ukue kwa sababu hawa wanaojiita viongozi wako kimaslahi zaidi, ni wachumia tumbo tu.
Yatampata yaliyompata mwendazakeNILICHOANDIKA Kabla ya uchaguzi na nini kinaenda kutokea uchaguzi wa TFF ndicho kimefanyika.
Nilisema watapitishwa kadhaaa mwisho mtasikia ama wamejitoa /ama waliopita nae hawana vigezo ndicho kimetokea.
Nitarudi baadae.
Rais mteule TFF HONGERA
Umekuwa sana, wamechukua kombe gani.Mpira wa Tanzania umekua sana kuliko kipindi cha yule mtakatisha fedha wa Yanga kampuni.
Hawajachukua kombe lolote ila ligi imeboreka, timu za vijana zimeimarika, ligi yetu kwa sasa ni ya 8 kwa ubora Africa.Umekuwa sana, wamechukua kombe gani.
Sasa kama wamekuwa wa kwanza kwa ubora duniani hilo limewasaidia na nini sasa wakati hakuna kombe la hayo mafanikio.Hawajachukua kombe lolote ila ligi imeboreka, timu za vijana zimeimarika, ligi yetu kwa sasa ni ya 8 kwa ubora Africa.
Hivi unajua Belgium haijawahi kuchukua kombe lolote lakini miaka miwili nyuma ilikuwa ya kwanza kwa ubora duniani ?
Kwajibu lako hili hoja yako ni ipi sasa ?Sasa kama wamekuwa wa kwanza kwa ubora duniani hilo limewasaidia na nini sasa wakati hakuna kombe la hayo mafanikio.
Kuna mambo mengine ni siasa tu. Kama unasikia siasa michezoni, basi ndo hivyo.