Karia apita bila kupingwa, mmeelewa nilichoandika sasa

Karia apita bila kupingwa, mmeelewa nilichoandika sasa

Nasikia uchaguzi umesitishwa, sijui maneno ya hapa bar!
 
Bora huyo mzenji kapeleka mahakamani tukose wote kama watafungiwa na FIFA, yaan Karia hana tofauti na mwendazake
 
Kwajibu lako hili hoja yako ni ipi sasa ?

Hawajafanikiwa au wamefanikiwa ?
Hakuna mafanikio bila kombe, dhumuni la kushiriki kwenye mashindano ni kunyakua kombe na sio bora kushiriki.
 
Back
Top Bottom