Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 7,837 Reaction score 14,198 Jul 1, 2021 #21 Nasikia uchaguzi umesitishwa, sijui maneno ya hapa bar!
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,039 Reaction score 6,253 Jul 1, 2021 #22 Bora huyo mzenji kapeleka mahakamani tukose wote kama watafungiwa na FIFA, yaan Karia hana tofauti na mwendazake
Bora huyo mzenji kapeleka mahakamani tukose wote kama watafungiwa na FIFA, yaan Karia hana tofauti na mwendazake
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Jul 1, 2021 #23 PTER said: Kwajibu lako hili hoja yako ni ipi sasa ? Hawajafanikiwa au wamefanikiwa ? Click to expand... Hakuna mafanikio bila kombe, dhumuni la kushiriki kwenye mashindano ni kunyakua kombe na sio bora kushiriki.
PTER said: Kwajibu lako hili hoja yako ni ipi sasa ? Hawajafanikiwa au wamefanikiwa ? Click to expand... Hakuna mafanikio bila kombe, dhumuni la kushiriki kwenye mashindano ni kunyakua kombe na sio bora kushiriki.