Karia hana uwezo wa kuendesha soka, aondoke tu

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Nilimaanisha karia hana uwezo wa kuendesha soka
Jamaa amekaa kihasira.

Si kwa Haji tu, ila ana uwezo mdogo sana wa kuendesh soka, huyu aonde tu.
 
Subiri uchaguzi mpya wa Tff, sanduku la kura litaamua
 
Nilimaanisha karia hana uwezo wa kuendesha soka
Jamaa amekaa kihasira.

Si kwa Haji tu, ila ana uwezo mdogo sana wa kuendesh soka, huyu aonde tu.
Pole baba
 
Tangia alivyoingiliaga siasa na kuwatukana upinzani basi nilimfutaa kwenye watu wa maana
 
Nilimaanisha karia hana uwezo wa kuendesha soka
Jamaa amekaa kihasira.

Si kwa Haji tu, ila ana uwezo mdogo sana wa kuendesh soka, huyu aonde tu.
Mrs Haji nawe umeanza lini mambo haya,?
 
Bado ana miaka ya kutawala TFF ikiisha ataondoka
 
Nilimaanisha karia hana uwezo wa kuendesha soka
Jamaa amekaa kihasira.

Si kwa Haji tu, ila ana uwezo mdogo sana wa kuendesh soka, huyu aonde tu.
.
FB_IMG_1655579378566.jpg
 
Muanzisha Uzi Umesahau Huyu huyu Manara Aliwaita Eti nyie Wote ni 'Machale Champlin'....!
Kwahiyo Hata weye Utaingie kundi Lile la Uchale ...uchizi uchizi hivi..!
 
Back
Top Bottom