Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video.
Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote.
Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.