Karia Hujaacha Matusi tu?

Karia Hujaacha Matusi tu?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video.

Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote.

Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai bwashee
Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
 
Mi nikahisi labda wewe umekuja na ushahidi. Kumbe ni porojo tu za kulishwa mitaani na domokunuka Manara .
 
kila kiongozi ana sababu ya kutolewa tiefuefu. hili la kumnyooshea kidole kumtishia na kumtukana hadharani Haji anaefurahia zake fataki za kubeba ndoo, ndo la kumtoa huyu Kolo Mr Karai pale TFF ambako hatoshi ili Rais mpya aje atuletee Kocha wa makombe Taifa Stars , tena awe mzawa kama Mgunda katutoa jasho! Sio kukazania tu wazungu matokeo zero!
 
Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
Weka huo ushahidi hapa. Ila yote kwa yote ni kuwa TFF na Bodi ya Ligi wote wako kwenye wallet ya GSM
 
kila kiongozi ana sababu ya kutolewa tiefuefu. hili la kumtukana Haji anaefurahia zake fataki za kubeba ndoo, ndo la kumtoa huyu Kolo Mr Karai pale TFF ambako hatoshi ili Rais mpya aje atuletee Kocha wa makombe Taifa Stars , tena awe mzawa kama Mgunda katutoa jasho! Sio kukazania tu wazungu!
Nakazia hapa mgunda apewe timu ya taifa.

Yule mzungu katufanga sie hatujui mpira mpaka anaacha mpole nje anaanzisha mtu ambaye hana timu. Katudharau sana yule mlung'u
 
Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
Naona umeamua kumtetea msemaji wa taifa...
 
Karia anaonekana kumnyooshea kidole tu uyo unayemsafisha . Lakini kijana mjeuri anaonekana kama alitaka wazichape na Karia huku akirusha maneno . Apigwe Ban tu hata 10yrs
 
Back
Top Bottom