Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
Mi nikahisi labda wewe umekuja na ushahidi. Kumbe ni porojo tu za kulishwa mitaani na domokunuka Manara .Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
Weka huo ushahidi hapa. Ila yote kwa yote ni kuwa TFF na Bodi ya Ligi wote wako kwenye wallet ya GSMNimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
ushahidi kidole alichomnyooshea Haji!Lete ushahidi humu
Nakazia hapa mgunda apewe timu ya taifa.kila kiongozi ana sababu ya kutolewa tiefuefu. hili la kumtukana Haji anaefurahia zake fataki za kubeba ndoo, ndo la kumtoa huyu Kolo Mr Karai pale TFF ambako hatoshi ili Rais mpya aje atuletee Kocha wa makombe Taifa Stars , tena awe mzawa kama Mgunda katutoa jasho! Sio kukazania tu wazungu!
Naona umeamua kumtetea msemaji wa taifa...Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
Anatuletea tabia za Kisomali kwenye nchi yetu!Nilimdharau Karia kuanzia siku alisema 'msilete Utundu Lisu". tangu siku hiyo nilianza kumuona kuwa mtu mwenye akili ndogo kama mtoto wa chekechea
Unajichekesha tu.Manara atajuta Safari hii. Yaani atapanua domo juu uu