Karia Hujaacha Matusi tu?

Karia Hujaacha Matusi tu?

Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
Hivi hapa si ni sawa na wale polisi wa Mtwara walivyokataliwa kujichunguza..!! Yaa rais wa TFF, azozane na Manara, halafu kama ya TFF isikilize kesi inayomuhusu rais wao..!!
 
Swali gani bwana wewe? Huyu kwani mara yake ya kwanz kufundisha timu ya taifa
Mara yake ya kwanza 'goli kilikua halijapanuliwa'...stars yake ilikua inaugonga mwingi,nakumbuka Morocco alipasuka 3 kwa mkapa na pira lilipigwa jingi,tulivoenda kwao Cha kwanza ni kumpa red Morris,wakatangulia mbili,tukarudisha moja,goli imara la kiemba..stars ya kwanza ya Kim ilikua moto
 
Wewe watu wanataka ufuzu sio ulicheza vizuri bwana wewe...hizo ni statements za losers....winners wanapiga ball na kombe wanachukua. Huyu hatujafuzu period.
And mind u ethiopia walifuzu not a single player anacheza nje ya nchi yao. Yeye ana msuva samatta himid novatus bado anatuletea zakuleta.
 
Sasa hivi hutaki Tena mpira mzuri!!!!?..ulisema wa Ethiopia anacheza mpira mzuri!!..Kama unataka kufuzu mrudishe amunike
 
Mpira mzuri na matokeao kaka sasa wee mpira mzuri alafu baadae tunaanza kuna pumbuz huku tunaangalia mpira kwa chupa nani anataka hiyo
 
Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
Sasa awamu ile ndio angelia kuliko awamu hii.
 
Mwambieni huyo anayesema yeye ni mtu wa serikali kuwa hii nchi sio mali ya baba yake.
Aheshimu sheria.
 
Huyo Msomali alitakiwa aiongoze familia yake lakini sio kuongoza watu wanaozidi 50!

Minziro alikukosea nini ukagoma kumpa mkono?

Bado ahajaacha kawakagua mashabiki wa Yanga akakuta wananuka wananuka mavi.
 
Kupotea makombe mwaka wa kwanza tu,chuki za wazi wazi ,mjiandae kufa kwa pressure mwaka huu na mingine
 
Back
Top Bottom