Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Ila amegoma Kutaja Tarehe ya Uchaguzi.Hatashinda, tunaingia vitani kumtoa.
Mkuu ikiwezekana mtoeni, huyu jamaa kichwani hana kitu, upangaji wa league tu imeishinda TFF.Hatashinda, tunaingia vitani kumtoa
Karia kama malinzi tu.Wakati akihojiwa na Mtangazaji wa Efm Radio, Bwana Wallace Karia amesema ni wazi kwamba mwaka huu atagombea tena nafasi ya Urais wa TFF.
Amesema atafanya hivyo ili atekeleze mambo aliyoongeza kwenye Ilani yake na mengine mapya aliyoanzisha.
Je, KARIA ANASTAHILI NAFASI NYINGINE?
Acheni kuweweseka refa aliyekataa penati ya prison na yanga alikuwa qnaibeba Simba na yule aliyewakatalia goli aiku ya Gwambina nq Simba pia alikuwa anaibeba Simba.Karia hafai na kaharibu ligi kuu na vile vile marefa wote wana maagizo ya kuibeba Simba ,ingawa simba ina timu nzuri
Huyu Karia hafai kabisa, na amejiwekea kinga kwenye uchaguz kwa kuwatoa kwenye system wale wote waliokuwa wanampinga na kuchomeka watu wake mikoan, serikali iingilie kati huu uchaguz la sivyo hakutakuwa na uchaguz ni mapichapicha tu, na ndiyo maana wame mute tarehe na siku ya huo uchaguz.Karia hana jipya, hata hayo mafanikio ya kutupeleka Afcon anayojisifia, ni kama Uganda walitubeba ile game, na ushahidi wa kuwa hatukuwa na timu bora ni vichapo tulivyopokea kule,
Na kuhusu ligi ubora wa ligi yetu kama nilivyomsikia anajitapa, wa kusifiwa ni Azam kwa kuibrand na kuitangaza ligi na Mo na GSM kwa uwekezaji na siyo TFF.
Karia hana jipya, ni style ya uongozi ile ile ya kina Ndolanga na Malinzi, fungia fungia style, ukionekana unakosoa unapigwa ban maisha[emoji706]
Karia ni football VIRUS hapa bongo, mtu gan na yake hawataki kukosolewa! Ukiwakosoa tu wanakutafuta kwenye 18 zao unapigwa ban maisha, watu wengi wana uzoefu na weled huko mikoan wamefanyiwa rafu za kipumbavu eti kisa walikuwa wanafanya kaz na viongozi wa TFF ya zaman!Huyu Karia hafai kabisa, na amejiwekea kinga kwenye uchaguz kwa kuwatoa kwenye system wale wote waliokuwa wanampinga na kuchomeka watu wake mikoan, serikali iingilie kati huu uchaguz la sivyo hakutakuwa na uchaguz ni mapichapicha tu, na ndiyo maana wame mute tarehe na siku ya huo uchaguz.
hastahili tenaWakati akihojiwa na Mtangazaji wa Efm Radio, Bwana Wallace Karia amesema ni wazi kwamba mwaka huu atagombea tena nafasi ya Urais wa TFF.
Amesema atafanya hivyo ili atekeleze mambo aliyoongeza kwenye Ilani yake na mengine mapya aliyoanzisha.
Je, KARIA ANASTAHILI NAFASI NYINGINE?
Kweli kabisa, Karia hakuna solution ya matatizo ya mpira wetu aliyo solve, waamuzi wabovu kama zaman na hawalipwi posho, upangaji wa ratiba za ligi mbovu kama zaman, rushwa bado kama zaman, kiufupi takataka zote za zaman bado hazijatatuliwa kwenye uongozi wake, tunahitaji mtu mpya walau atupe hope!Karia ni football VIRUS hapa bongo, mtu gan na yake hawataki kukosolewa! Ukiwakosoa tu wanakutafuta kwenye 18 zao unapigwa ban maisha, watu wengi wana uzoefu na weled huko mikoan wamefanyiwa rafu za kipumbavu eti kisa walikuwa wanafanya kaz na viongozi wa TFF ya zaman!