Karia: Mnataka tuzo za ligi waambieni bodi ya ligi waanzishe zao”

Karia: Mnataka tuzo za ligi waambieni bodi ya ligi waanzishe zao”

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mnataka tuzo za ligi waambieni bodi ya ligi waanzishe zao”~> Rais wa TFF, Wallace Karia.

Karia alitoa kauli hiyo akieleza kuwa utoaji wa tuzo za ligi ni jukumu linaloweza kusimamiwa na Bodi ya Ligi, akisisitiza kuwa endapo kutakuwa na uhitaji wa kuwa na tuzo maalum za mashindano ya ligi, wahusika wanapaswa kuziandaa kupitia bodi hiyo.

Soma Pia: Karia: Nataka kuifuta ligi ya under 20 kuna udanganyifu wa umri sana!

Bodi ya ligi ni bodi iko huru kwa vitu vyake vingi lakini asifi mpira unahusika ndio maana kanuni natengeneza mimi na kamati yangu tunazipitisha mimi na kamati yangu ya utendaji..."

Tunasema tuzo za TFF... Kategori nyingi na ligi pia ni mojawapo."
Wameshamaliza tayari hizi tuzo ni za TFF ujue kuna kitu ndio maana nikakuambia sisi ndio wenye authority ya mpira."

Leo hamjui mfungaji bora ni nani? Anafahamika. ... atapewa Januari."


 
Kwani Bodi si ndo msimamizi mkuu, mbona jamaa anaongea as if yupo juu ya Bod? Bod si ndio chombo cha juu cha mamlaka/shirikisho/taasisi nk?
 
Karia hamna mtu pale kwa msisimko wa Mpira Duniani kwa sasa ilitakiwa kuwe na mabadiliko mengi tu ila hakuna wanachofanya zaidi ya kuiba pesa tu.
 
Back
Top Bottom