Mnataka tuzo za ligi waambieni bodi ya ligi waanzishe zao”~> Rais wa TFF, Wallace Karia.
Karia alitoa kauli hiyo akieleza kuwa utoaji wa tuzo za ligi ni jukumu linaloweza kusimamiwa na Bodi ya Ligi, akisisitiza kuwa endapo kutakuwa na uhitaji wa kuwa na tuzo maalum za mashindano ya ligi, wahusika wanapaswa kuziandaa kupitia bodi hiyo.
Tunasema tuzo za TFF... Kategori nyingi na ligi pia ni mojawapo." Wameshamaliza tayari hizi tuzo ni za TFF ujue kuna kitu ndio maana nikakuambia sisi ndio wenye authority ya mpira."
Leo hamjui mfungaji bora ni nani? Anafahamika. ... atapewa Januari."