Karia ndiyo Rais wa TFF mwenye maendeleo

Katika marais wa awamu zote Karia ndo Rais aliyeleta maendeleo kwenye mpira pamoja na madhaifu yake.

Mikataba na Azam media
Mikataba na TBC
Mkataba wa gharama na NBC
Vilabu kufaidika kutokana na msimamo kwenye table ya ligi inapoisha

#UCHAGUZIKENYA: Zoezi la kuhesabu kura linaendelea ambapo hadi kufikia Saa 02:32 Mchana, Mgombea wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amejikusanyia kura 1,890,299 sawa na 49.58% huku Mgombea wa UDA, Naibu Rais William Ruto akiwa na kura 1,868,853 sawa na 49.02%

#ITVUchaguziKenyaUpdates
 
Malinzi ndo mwenye mafanikio kuliko maraisi wote Tanzania alisikika nguruwe pori.
 
1. *President -Tenga
*Vice president- Nyamlani


Hii timu ilifanya vizuri. Mpira ulikuwa na heshima na ufanisi. Kulikuwa na mwamko mzuri kitaifa hasa timu ya taifa. Udhamini mzuri na soka inayozingatia sheria na taratibu. TFF iliimarika Kama taasisi.Wadhamini wakaanza kujitokeza.

2. *President - Malinzi
*Vice president- Karia


Hii timu haikuelewana na kufanya vizuri. Mpira ulipooza kwa vilabu na taifa. TFF iliyumba kama taasisi. Matatizo ya rushwa,upendeleo,undugu na ufujaji fedha yakaibuka. Wadhamini wakaanza kujitoa.

3. *President- Karia
*Vice president- Nyamlani


Mpira umerudi kwenye heshima na ufanisi zaidi hasa ngazi za vilabu,taifa (chan),mpira wa ufukweni, vijana na wanawake.
Bado ina-stuggle na timu ya taifa (wanaume). TFF imeimarika Kama taasisi. Kampuni na mashirika yamekuwa na imani na hivyo kuwekeza fedha zao kwenye udhamini katika vilabu na timu ya taifa. Mpira unaelekea kuwa semi- professional
 
Katika marais wa awamu zote Karia ndo Rais aliyeleta maendeleo kwenye mpira pamoja na madhaifu yake.

Mikataba na Azam media
Mikataba na TBC
Mkataba wa gharama na NBC
Vilabu kufaidika kutokana na msimamo kwenye table ya ligi inapoisha
sijawahi kumkubali huyu jamaa tangu aingie, huwa simwelewi. atoke tu.
 
sijawahi kumkubali huyu jamaa tangu aingie, huwa simwelewi. atoke tu.
Ni mtu wa kisasi sana huyu jamaa! Halafu anapenda utukufu wa kijinga. Anapenda aogopwe bila sababu!

Sidhani kama amejifunza chochote kutoka kwa Leodgar Chilla Tenga! The man was the best president ever! Very humble!! TFF iliheshimika sana wakati wa utawala wake.
 
mafanikio gani..?? bado watu wanacheza kwenye vyenye matuta ya viazi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua utamtaja swahiba wako Malinzi, jizi lilobebwa msobe msobe na defender.

Byuti byuti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua utamtaja swahiba wako Malinzi, jizi lilobebwa msobe msobe na defender.

Byuti byuti.
Hata huyu Wallace Karia naye ni mwizi tu. Ngoja siku atoke madarakani, halafu aje kiongozi muadilifu! Ndipo madudu yake yatakapoanikwa hadharani.

Na hata kezi ya Malinzi, alichangia pakubwa sana kwenye kumtengenezea zengwe kutokana na unafiki na majungu yake.
 
Unafiki gani acha zako wee bhana, malinzi madudu yake wazi wazi, alisema kabisaa kwa Yanga yupo tayari kutoa hata mshahara wake aisaidie Club, sasa hapo ilionesha jinsi gan pesa zinavopelekwa utopoloni.

Mbna sie tulitulia tyuuh?? Mvumilie tyuuh.

Afu soma hapo chini, anakubalika na wakuu wake.
 
huyu ndio anaweza kufanya hata jina la urais wa tff lifutwe, waitwe wenyeviti tu wa tff. kwasababu anajiona ni mtu mkubwa sana, kwamba hata ukibishana naye wewe ndio unaadhibiwa yeye haadhibiwi kwasababu ni mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…