Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hii mikasiriko utafikiri amekuchukulia mke/mkeHana jipya! Amekaa kipigaji tu. Ukimkuta tumbo limejaa utafikiri ana minyoo sugu.
Hiyo jeuri hana.Aisee hii mikasiriko utafikiri amekuchukulia mke/mke
Katika marais wa awamu zote Karia ndo Rais aliyeleta maendeleo kwenye mpira pamoja na madhaifu yake.
Mikataba na Azam media
Mikataba na TBC
Mkataba wa gharama na NBC
Vilabu kufaidika kutokana na msimamo kwenye table ya ligi inapoisha
Sawa ngoja tuone mshindi atakuwa nani.Hiyo jeuri hana.
sijawahi kumkubali huyu jamaa tangu aingie, huwa simwelewi. atoke tu.Katika marais wa awamu zote Karia ndo Rais aliyeleta maendeleo kwenye mpira pamoja na madhaifu yake.
Mikataba na Azam media
Mikataba na TBC
Mkataba wa gharama na NBC
Vilabu kufaidika kutokana na msimamo kwenye table ya ligi inapoisha
Sina hakika kama kuna uto mwenye akili ya kuyaona hayo. Sina hakika kwakweli.Hana jipya! Amekaa kipigaji tu.
Ni mtu wa kisasi sana huyu jamaa! Halafu anapenda utukufu wa kijinga. Anapenda aogopwe bila sababu!sijawahi kumkubali huyu jamaa tangu aingie, huwa simwelewi. atoke tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiteseke wee? Kwann? Maumivu na mateso kwako ni suala endelevu.Hana jipya! Amekaa kipigaji tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua utamtaja swahiba wako Malinzi, jizi lilobebwa msobe msobe na defender.Ni mtu wa kisasi sana huyu jamaa! Halafu anapenda utukufu wa kijinga. Anapenda aogopwe bila sababu!
Sidhani kama amejifunza chochote kutoka kwa Leodgar Chilla Tenga! The man was the best president ever! Very humble!! TFF iliheshimika sana wakati wa utawala wake.
Hata huyu Wallace Karia naye ni mwizi tu. Ngoja siku atoke madarakani, halafu aje kiongozi muadilifu! Ndipo madudu yake yatakapoanikwa hadharani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua utamtaja swahiba wako Malinzi, jizi lilobebwa msobe msobe na defender.
Byuti byuti.
Unafiki gani acha zako wee bhana, malinzi madudu yake wazi wazi, alisema kabisaa kwa Yanga yupo tayari kutoa hata mshahara wake aisaidie Club, sasa hapo ilionesha jinsi gan pesa zinavopelekwa utopoloni.Hata huyu Wallace Karia naye ni mwizi tu. Ngoja siku atoke madarakani, halafu aje kiongozi muadilifu! Ndipo madudu yake yatakapoanikwa hadharani.
Na hata kezi ya Malinzi, alichangia pakubwa sana kwenye kumtengenezea zengwe kutokana na unafiki na majungu yake.
huyu ndio anaweza kufanya hata jina la urais wa tff lifutwe, waitwe wenyeviti tu wa tff. kwasababu anajiona ni mtu mkubwa sana, kwamba hata ukibishana naye wewe ndio unaadhibiwa yeye haadhibiwi kwasababu ni mkubwa sana.Ni mtu wa kisasi sana huyu jamaa! Halafu anapenda utukufu wa kijinga. Anapenda aogopwe bila sababu!
Sidhani kama amejifunza chochote kutoka kwa Leodgar Chilla Tenga! The man was the best president ever! Very humble!! TFF iliheshimika sana wakati wa utawala wake.