Karia ndiyo Rais wa TFF mwenye maendeleo

Katika marais wa awamu zote Karia ndo Rais aliyeleta maendeleo kwenye mpira pamoja na madhaifu yake.

Mikataba na Azam media
Mikataba na TBC
Mkataba wa gharama na NBC
Vilabu kufaidika kutokana na msimamo kwenye table ya ligi inapoisha
Hivi Tanzania imepanda kiwango Cha mpira kwa rank za FIFA tuko wa ngapi now? Nauliza tu ili tujue

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Katika marais wa awamu zote Karia ndo Rais aliyeleta maendeleo kwenye mpira pamoja na madhaifu yake.

Mikataba na Azam media
Mikataba na TBC
Mkataba wa gharama na NBC
Vilabu kufaidika kutokana na msimamo kwenye table ya ligi inapoisha
Kima wa pori la Utopolo watakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…