witzone2
JF-Expert Member
- Jan 14, 2022
- 797
- 1,739
Hivi Tanzania imepanda kiwango Cha mpira kwa rank za FIFA tuko wa ngapi now? Nauliza tu ili tujueKatika marais wa awamu zote Karia ndo Rais aliyeleta maendeleo kwenye mpira pamoja na madhaifu yake.
Mikataba na Azam media
Mikataba na TBC
Mkataba wa gharama na NBC
Vilabu kufaidika kutokana na msimamo kwenye table ya ligi inapoisha
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app