Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania( TFF) Wallance Karia ametoa mtazamo wake kuhusu kilichotokea kweny taarifa ya bodi ya ligii kuu kupitia kamati ya masaa 72 ya kusema goli lililofungwa na muamuzi kulikataa goli hilo lilikuwa goli la halali, taarifa yao hiyo ilikosewa kulingana na kanuni ilivyo hakupaswa kusema hivyo.
Soma Pia: Mchezo wa Yanga SC na Simba SC, Hamdan Said afungiwa miezi 3 kwa shambulizi la Dube na Kassim Mpanga afungiwa miezi 6 kwa Goli la Simba
Kama refa alikataa goli basi ndio maaumuzi yanabaki hayo