Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania( TFF) Wallance Karia ametoa mtazamo wake kuhusu kilichotokea kweny taarifa ya bodi ya ligii kuu kupitia kamati ya masaa 72 ya kusema goli lililofungwa na muamuzi kulikataa goli hilo lilikuwa goli la halali, taarifa yao hiyo ilikosewa kulingana na kanuni ilivyo hakupaswa kusema hivyo
Kama refa alikataa goli basi ndio maaumuzi yanabaki hayo