Karia, TFF, CAF wamfanyia fitna Crispin Ngushi akatwa jina caf

Ni uleule muendelezo wa vita kati ya karia na yanga sc kwa kutumia ukaribu wake na Motsepe ameagiza Ngushi akatwe jina lake
wana yanga amkeni nyie, mnaonewa sana
View attachment 2347659
Wakati fulani ni busara pia ukiamua kuacha kumkimbiza mwendawazimu aliyechukua nguo zako mtoni wakati unaoga.

Maana ukimkimbiza, wewe ndiye utakaye onekana mwendawazimu. Ufupi huyo Karia ni mtoto mdogo sana kwa Club kubwa Afrika ya Mashariki na Kati, kama Yanga.
 
Kwa picha hii ni kwamba caf wanatambua usajiri wa Tuisila.
agh wapi juzi usiku siku 3 zilizopita CAF wametoa ule utaratibu wa covid 19 ulionufaisha simba na kina jr lokosa ili kisila asicheze, karia kapeleka fitna kwa motsepe, wanaiogopa yanga na kisinda vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…